Manengelo nakupenda

Yani acha tuu.. Huyu nadhani hata D tatu za kwenda the amazon college kakosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]sihadaiki ng'o!bye
Hapa kuna watu wataniona kichaa ninamtongoza mtu ambaye sijawahi muona anafananaje,ila sikia nikwambie huwa nina angalia zaidi uwezo wa kufikiri wa msichana kuliko kitu kingine chochote kile, uwe na chura au usiwe nayo kwangu poa tu as long as unafikiria vizuri basi nina amini mbele yenye mafanikio makubwa .


Upo special sana, sawa na mama yetu Sky Eclat, nyinyi ni miongoni mwa womens ambao mmebarikiwa kuwa na super IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

😂😂😂 mimi sina weledi huo..unanijaza tu..sitak kbs upuuzi huo..yaan age hii nianze vidate na vitoto😅😅😂😂!☺☺☺☺☺
 
Unaweza kumpenda mtu hata kama hujawahi kumuona, tena upendo wa kweli. Ila MUDA NA ENEO LA KUMWAMBIA KUHUSU UPENDO WAKO JUU YAKE, Ndiyo vinaweza kukufanya uonekane mpuuzi.

najifunza zaidi [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…