Manengelo nakupenda

Manengelo nakupenda

Ngoja niongee na moderators wafute huu uzi.

Yaliyobaki yatabaki kuwa faragha.

Mahasidi ni wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
naona unawaaminisha watu kuwa kuna jambo linaendelea in a positive way..ukiheshimiwa jiheshimu na ww mdg wangu..ww ni mdg wangu kbs.kbs..mdogo wangu alonifata ana 30 yrs old..ww umesema una 28yrs pm ...mume wangu alioana na mm akiwa ana 26..umri huo wenzako jms wanafunga ndoa..ww unajichetua km upo 21..usidhan sifa kujichrta hv..mwenzako najichetua natafta deals za kupiga hela..sasa ww endelea na ujuha wako huko..nadhan bado unaishi kwa wazaz ww
 
Usijibu chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazania atakua amekupata maana mtu anakua kinganganizi kama kupe

Back
Top Bottom