Manengelo nakupenda

Manengelo nakupenda

naona unawaaminisha watu kuwa kuna jambo linaendelea in a positive way..ukiheshimiwa jiheshimu na ww mdg wangu..ww ni mdg wangu kbs.kbs..mdogo wangu alonifata ana 30 yrs old..ww umesema una 28yrs pm ...mume wangu alioana na mm akiwa ana 26..umri huo wenzako jms wanafunga ndoa..ww unajichetua km upo 21..usidhan sifa kujichrta hv..mwenzako najichetua natafta deals za kupiga hela..sasa ww endelea na ujuha wako huko..nadhan bado unaishi kwa wazaz ww
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani imekuaje tena
 
naona unawaaminisha watu kuwa kuna jambo linaendelea in a positive way..ukiheshimiwa jiheshimu na ww mdg wangu..ww ni mdg wangu kbs.kbs..mdogo wangu alonifata ana 30 yrs old..ww umesema una 28yrs pm ...mume wangu alioana na mm akiwa ana 26..umri huo wenzako jms wanafunga ndoa..ww unajichetua km upo 21..usidhan sifa kujichrta hv..mwenzako najichetua natafta deals za kupiga hela..sasa ww endelea na ujuha wako huko..nadhan bado unaishi kwa wazaz ww
Hili povu ni zito mno naomba usilimwage niloweke nguo zangu za mazoezi tafadhali...hahahaa by the way umemkatakata dogo mpaka naona kabiaa anaenda kubadiri ID

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom