Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Yaani pamoja na matatizo ya ndoa anayopitia bado mna moyo wa kumtongoza?
Sent using Jamii Forums mobile app
haahahaa alafu huyu anajielewa sana sema balehe inamjia vby..wala sina haja ya kugombana naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka hapo kwenye mzunguko wa damu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂unanyanyua juu tumbo unamwambia taratibu nna ceaser ya last born😂😂😂😂😂😎😎😎[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nguo unachojolea kwenye shuka usimtishe dogo na kitambi
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂nakuheshim..haha haya bwanaTatizo manengelo nae anapendaga serengeti boys,usishangae akaingia kingi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha achana nae diahaahahaa alafu huyu anajielewa sana sema balehe inamjia vby..wala sina haja ya kugombana naye
ana hela?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unanyanyua juu tumbo unamwambia taratibu nna ceaser ya last born[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41]
kweli my dear...ananiharibia siku toka jana huyuHahahaha achana nae dia
😂😂😂..mie masikini tena siwatak..wana gubuu sana 😎
Hii comment ingekua nje ya huu uzi ningejitosa ila sasa mleta mada ataniona kauzu[emoji23][emoji23][emoji23]..mie masikini tena siwatak..wana gubuu sana [emoji41]
Hahahahahaha dah!Tehtehte.
Kwa hiyo kumbe Asprin , Saint Ivuga na Bonny hii siri wanaijua toka siku nyingi ila wamenificha eeeh?
haahahaa alafu huyu anajielewa sana sema balehe inamjia vby..wala sina haja ya kugombana naye
ahhahaa....naona kisu kimegusa mfupa😎...naandika nikimanisha😅Hii comment ingekua nje ya huu uzi ningejitosa ila sasa mleta mada ataniona kauzu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nifanye mapinduzih
ahhahaa....naona kisu kimegusa mfupa[emoji41]...naandika nikimanisha[emoji28]
Achana nae maa hata usimchukulie serious ukateseka bure[emoji4]kweli my dear...ananiharibia siku toka jana huyu