Manengelo nakupenda

Please accept my request

Usijinyime raha ya dunia kwa kuhadaika na pesa, mapenzi ya kweli na goodsex ndio furaha halisi hapa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app


wè mtoto acha ujuha...sijawah lalamika.popite kuwa sipat gud sex..pls heshima ni kitu cha bure..mimi ni km.mama yako..nakuzaa asbh na mapema!

alafu km kuna mtu amepanga kunipa rum bure hapa mjini niishi si ndo atanitosa kwa ujuha wako huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nyoko ww
 
Sawa sipingani na hoja zako, you are a brave woman na huwa una contents nzuri sana

Kuna mazuri mengi ninayaona kati yangu na wewe.

Njoo PM tafadhari.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sipingani na hoja zako, you are a brave woman na huwa una contents nzuri sana

Kuna mazuri mengi ninayaona kati yangu na wewe.

Njoo PM tafadhari.





Sent using Jamii Forums mobile app
.πŸ˜‚πŸ˜‚unaniudhi sana!pls jaman msiendelee kicoment nyuzi za huyu mbweha wa kijani..ashajulikana ni form4 leaver kanasubiri kwenda form 5..kaone
 
ha ha ha mvulana anataka kuona palipo mtoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sredi za hivi huwa zinanoga kama ni old members ndo zinakuwa na kauhalisia.

Sio join date leo, tayari ana comments za kipumbavu 3 afu anabana pua huku ana type nyai nyav nyuuuu. πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„

Shubaamit.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…