Manengelo nakupenda

Manengelo nakupenda

alafu mnavyozid kucomment humu ndo mnanikwaza..si mpuuzie tu jaman..alafu nakudai deni langu ww[emoji23][emoji23]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Umeenza kudai madeni kwenye uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mpaka nione jibu utakalo mpa mleta mada kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahhaaha najibu nn sasa !au unataka nimjibu nn mtuhumiwa!😕..hhaa km wakina mwafulan wanavyodaigi madeni😅😅😅...!nakumiss kidogo sana sana!😢😉
 
My God Ogopeni Muumba wetu Sijui Dhamira yako uliemwandikia ujumbe kwenye ukurasa wangu wa Jamii forum unamfahamu vzr ?au matumizi ya mtandao kila mmoja na malengo yake¿Wengine kwetu ni darasa ,Wengine biashara,wengini Mapenzi nk?Ushauri wangu watumiaji wa Jf tujifunze na tuepuka kuweka wazi huluka tulizonazo ni kujiaibisha na kujifedhehesha Bure kwa kuandika vitu ambavyo ni chukizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sredi za hivi huwa zinanoga kama ni old members ndo zinakuwa na kauhalisia.

Sio join date leo, tayari ana comments za kipumbavu 3 afu anabana pua huku ana type nyai nyav nyuuuu. [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Shubaamit.
Naam. Haya maneno yangetoka kwa mtu kama mimi at least yangesomeka....ngoja nijaribu kujifanyia sub kwa kijana au sio?

Nakala: @ Manengelo
 
Naam. Haya maneno yangetoka kwa mtu kama mimi at least yangesomeka....ngoja nijaribu kujifanyia sub kwa kijana au sio?

Nakala: @ Manengelo
😃😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom