Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Rejea maneno haya ya nabii Mkuu wakati anampa Mwimbaji gari "Mimi napenda kuuona uzuri wa watu na kuuyoa nje". Kwa haraka sana gari hapo limekuja la kiwakilisho tu katika ulimwengu wa vitu (material world) ila ukweli ni kuwa yule Mwimbaji alipewa mguvu ( energy).
Waliomshauri kuchoma gari sijajua kama wanafahamunkuwa nguvu haichomeki na ( unaweza kuchoma nguvu kweli?). Maneno aliyoambiwa na matendo aliyoyafanya yule Mwimbaji mfano kupiga mahoti na kushika viayu vya nabii ni vitendo vya kuruhusu kupokea nguvu. Ninahisi yule Mwimbaji alipokea asichokijua kwa kutawaliwa sana na ulimwengu wa vitu.
Soma Pia: Muimbaji wa injili GodLucky achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji
Mtu Kwa kujua au kutojua ni nguvu na anaweza kupokea nguvu yoyote ile Kwa kuiruhusu yeye mwenyewe kwa kujua au kutojua.