Dolari 670 leo kikao wapiKwa nini mangi?
Nakula pombe tu bwasheeDolari 670 leo kikao wapi
Mna zingua π π πNimeona uzi wa poor , kisa nimetajwa huko , kutajwa kwenye nyuzi za huyu mwamba ni kudhalilishwa mnoπ€£π€£
Jobless tuna zingua kimtindo ila hatutoki nnje ya chama katiba hapaπMna zingua π π π
We bundi acha ufala, nusu albino wewe.Ngoja aone alaf yeye na Intelligent businessman sijui n mapacha? Asipotaja neno nusu albino niitwe paka
Kidumu chama Cha ma jobless pro maxJobless tuna zingua kimtindo ila hatutoki nnje ya chama katiba hapaπ
Kidumu hakikaKidumu chama Cha ma jobless pro max
Ila watu wamevurugwaπ€£π€£Kipindi hicho shule tulivyosoma kitabu cha Takadini tu basi nikapewa na jina la SOPE.
Ila kuna binti alikuwa ananiita MALAYA, mara nyingi nilikuwa nakaa back bencher na alivyokuwa mwehu anasimama mbele ya darasa halafu anaita kwa nguvu na nilikuwa kiongozi wake wa dini π.
Selikavu
SureIla watu wamevurugwaπ€£π€£
Huyu mpaka kesho tukikutana/kuwasiliana hana jina jipya zaidi ya hilo yani ni kama hajui jina langu πIla watu wamevurugwaπ€£π€£
πππChanzo cha kukuita hvyo hakifahamiki??Huyu mpaka kesho tukikutana/kuwasiliana hana jina jipya zaidi ya hilo yani ni kama hajui jina langu π
Bila Shaka kuna chanzo mkuu,ππHuyu mpaka kesho tukikutana/kuwasiliana hana jina jipya zaidi ya hilo yani ni kama hajui jina langu π
Makazi yangu maalumu yalikuwa back bencher ila sikuwa nakaa huko kila siku, wakati mwingine nilikuwa naenda kukaa upande wa wasichana napiga story au kusoma nao, wengine kutoka ndani na nje ya darasa letu walikuwa wanakuja back bencher kwa nia ya kusoma au story ila yeye akahisi tofauti na ndo jina lilipoanzia.πππChanzo cha kukuita hvyo hakifahamiki??
Nilijua tu yani kama n mkeka umetiki.We bundi acha ufala, nusu albino wewe.
Mkeka wako wa kuwa nusu albino ehhNilijua tu yani kama n mkeka umetiki.
We jamaa tiketi ya dom mirembe ipo tayariMkeka wako wa kuwa nusu albino ehh
Inaonekana alikuwa anakupenda na kukukubali Sana ila wewe sasa hukumwelewa,ππMakazi yangu maalumu yalikuwa back bencher ila sikuwa nakaa huko kila siku, wakati mwingine nilikuwa naenda kukaa upande wa wasichana napiga story au kusoma nao, wengine kutoka ndani na nje ya darasa letu walikuwa wanakuja back bencher kwa nia ya kusoma au story ila yeye akahisi tofauti na ndo jina lilipoanzia.
Selikavu
mbwangali