Maneno gani huwa unaitwa yanakushangaza lakini hayakuboi?

Maneno gani huwa unaitwa yanakushangaza lakini hayakuboi?

Mtaani;
1. Undercover
2. Boss
3. Kitombi

JF
1. Mchukia Wanawake
2. Muongeaji
3. Mkali na katili.

Yote hayo ni kinyume kabisa na uhalisia
 
Kipindi hicho shule tulivyosoma kitabu cha Takadini tu basi nikapewa na jina la SOPE.

Ila kuna binti alikuwa ananiita MALAYA, mara nyingi nilikuwa nakaa back bencher na alivyokuwa mwehu anasimama mbele ya darasa halafu anaita kwa nguvu na nilikuwa kiongozi wake wa dini 😂.

Selikavu
 
Back
Top Bottom