Maneno gani huwa unaitwa yanakushangaza lakini hayakuboi?

Maneno gani huwa unaitwa yanakushangaza lakini hayakuboi?

Wengi huniita Kaka.
Walio wageni kwangu huniita lastborn; hata nilipokuwa final year chuo, Hadi first year mwaka huo waliniita first year mwenzao, dah!
Course mates wengi waliniita professor, sijui Hadi Leo kwanini niliitwa hivo.
 
Back
Top Bottom