Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Kitutufye 😂Ni jana kuna bwana mmoja kaletwa nilipo kisa amekatwa pua na mgoni wake .
Binadamu wa watu napambania uhai wake walau kesho awe na good appearance nikatoka kidogo ili niende theatre 4 sasa wamekuja nduguze wanamuuliza ulikuwa na mtoa huduma yupi anawajibu yule kitumbo tumbo mda huo nimesharudi niko dirishani hakika nilijihisi kufedheheka ukizingatia ndugu zake ni mabinti wadogo na wazuri ila hakuona shida mbali na care ninayompa bado akaniita kitumbo tumbo
Msamehe bure