Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Hii ilikuaga dawa ya kuchua kama sikosei watoto wa 2000's hawaijui hii..Kuna Mmoja anaitwa Ngoka 11 umri umeenda kidogo sijui alikuwa anauza Ngoka Eleven kwelii, maana anaitika bila wasiwasi kabisa 🤣🤣