Maneno gani mazito ya mwisho ungependa yasomwe kwenye msiba wako watu wayasikie

Maneno gani mazito ya mwisho ungependa yasomwe kwenye msiba wako watu wayasikie

Assume dunia nzima au watanzania wote tupo kwenye msiba wako tunakwenda kukuzika sasa kwa ufupi tu ungepewa nafasi uandike mambo ya mwisho siku za mwisho za uhai wako ungesema hoja gani wosia wa kutuachia sisi tunaobaki.

je yupo mtu ambaye ulimpenda na yeye hakukupenda ungependa ajue au yupo mtu aliyekuumiza na kukukandamiza ungependa umchane
Nyumba magari na viwanja nivya mama yao na watoto.
Ndugu wasiingilie
 
Back
Top Bottom