Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Usipozitaja hizo common terms ntazijuaje!??? Halafu mbona hizi ni VERY common terms kabisa, na hakuna bombastic hapo!???Mkuu tuma common terms ambazo tunazikosea sana, sio hizo bombastic nzito nzito
KyuHadi Leo sijui kutamka queue dah mnijuze
No, he is not wrong nor are you.mkuu your wrong ni shejo mzee
You're both right, it's a matter of American (AmE) and British (BrE) English.mkuu your wrong ni shejo mzee
Uko vizuri mkui, hiyo ni simplified IPA1. transaction --- TRA-NZAK-SHEN
2. human --- YUMAN
3. table --- TEIBO (not: TEBO)
4. space --- SPEIS (not: spes)
5. peculiar --- PEKYULIA
6. preposterous demands --- PRI-POSTE-RAS
7. news --- NYUZ/NUZ
8. vehicle --- VIEKO
9. automobile --- OTOMO-BIL
10. authorities --- OTHO-RITIS
hakuna kitu kama hiiLittle wabongo lito wenyewe liloo
Ndipo tumeagiza ving'amuzi vipya vya kisasa kutoka Korea [emoji2406] so mchakato uko hatua za mwisho za upembuzi yakinifu & usanifu, muda si mrefu tutakuwa hewani. Tunawasihi wananchi na watu wote wenye mapenzi mema na hatua ambazo tumezifikia hadi sasa waendelee kuwa wavumilivu na pia watuunge mkono kwa hali na mali, wasisite kuendelea kutoa michango ya fedha zao kama ambavyo wamekuwa wakitufanyia muda wote ili tufanikishe juhudi hizi madhubuti.
Pamoja mkuuNdipo tumeagiza ving'amuzi vipya vya kisasa kutoka Korea [emoji2406] so mchakato uko hatua za mwisho za upembuzi yakinifu & usanifu, muda si mrefu tutakuwa hewani. Tunawasihi wananchi na watu wote wenye mapenzi mema na hatua ambazo tumezifikia hadi sasa waendelee kuwa wavumilivu na pia watuunge mkono kwa hali na mali, wasisite kuendelea kutoa michango ya fedha zao kama ambavyo wamekuwa wakitufanyia muda wote ili tufanikishe juhudi hizi madhubuti.
Ila kuna kitu gani zaidi ya hiihakuna kitu kama hii
Education ---- edzukeshen/ejukeshen vs edukeshen