Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

led --- he led a big company as one of its top CEOs

She read the book yesterday. (Inasomwa "red" kwa 7bb ni past tense)
Mkuu unapotosha mengi saana...ni vema kama haujui yote ukatusaidia ambayo unauhakika nayo.

Kuna wasiojua watachukua matamshi yako. Hiyo lead sio led inatamkwa leed. With a long e.
 
Mkuu unapotosha mengi saana...ni vema kama haujui yote ukatusaidia ambayo unauhakika nayo.

Kuna wasiojua watachukua matamshi yako. Hiyo lead sio led inatamkwa leed. With a long e.
Najua ndipo tu umefufuka kutoka usingizini. Ningekuwa mwalimu halafu wewe ukawa student, ningekuvusha madarasa mawili, uwahi kuhitimu ili ukuje uone vema ngoma ilivyo rahisi huku field. Anyways, matangazo pembeni, soma post #125 hapo halafu ukuje tuongeeeeee.
 
I get your point. But ili kutumia hiyo system, lazima ujifunze kwanza. Which means, mtu ambaye hajajifunza ataona mapichapicha tu. See what I'm sayin'? Kwa mtu ambaye interest yake ni kutaka kujua basic knowledge ya matamshi ya maneno fulani, kuyadahibisha ama kuyakaidisha ("customize") katika lugha hasa ya Kiswahili ambacho karibu kila mtu anakubali kuwa ni rahisi zaidi, inasaidia mara mia na zaidi kuliko mfumo husika. Faida ya pili ni kwamba mtumiaji anakuwa anajua lugha yake tayari -- kwa hiyo matamshi ya maneno ya English hutambulika haraka.

Imagine native English ambaye hajui IPA, ila anahitaji kujifunza kutamka maneno ya Kiswahili, mmoja akaanza kumfundisha mfumo wa IPA, mwingine anatumia mfumo huu wa "First Principle." Ni dhahiri huu wa pili unarahisisha zaidi.

Mfano:
1. Kila kitu --- "killer key-two"

2. Kiatu --- "key-a-two"

3. Sisimizi --- "see-see-me-zy"

4. Sakafia --- "sir-car-fee-a"

Japo si kile hasa ninachomaanisha kuhusu kudahibisha katika Kiswahili, angalau tunaweza kupata picha ndogo ya dhana husika.

NB: It is nor meant for scrupulous professionals, but for colorful artists!
Ras Simba na wanafunzi wake hahahhaa
 
Mimi kilichokua kinanisumbua sana ni zile ndoo za mafuta juu kwenye mfuniko zimeandikwa,KUFUNGUA KATA MAPENGO..
Enzi hizo nina mapengo,,zilikuwa zinaniacha na maswali mengi mno..
Aiseeee!!! Kumbe dunia nimeamini wanne wanne!!!

Kufungua kata mapengo! Dahhhhh
 
prescription
neurophysiology
neuroplasticity
secretive
secretion
navigator
acquired immunodeficiency syndrome
prolific
proliferation
pomposity
preposterous
premature
proclivity
primitive
postpone
postponment ---- POST-PON-MENT
parallelogram
 
adaptation
adoption
adsorption
naturalize
neutralize
alertness
extracurricular activity
externally
external --- EKS-TANO (5 x's)!!!
existence --- EG-ZIS-TENS
extrajudicial killings
persimonious --- bahili
persimony --- ubahili
Jasmoni --- extremely generous person ever
mayhem
martyr ---maa-taya
hippocampus
fatigue
money --- mapesa
dollars --- faranga
induce
induction


To be continued…
Subscribe, LIKE, comment & share!
 
Back
Top Bottom