Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Wanna know the reason first, why are you interested.?I am interested in knowing those rules sweetliver, if possible
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanna know the reason first, why are you interested.?I am interested in knowing those rules sweetliver, if possible
I understand, but their reply is still correct kabisa ukitafakari.Unamuuliza: Mr X, how are you today? (Labda alikuwa mgonjwa), anakujibu "mmmh....somehow" (akiwa na maana ana nafuu). MAKOSA.
Usahihi:
Mfano: Labda umefanikiwa kufanya jambo fulani gumu na hata wewe mwenye huna uhakika namna ulivyofanikiwa......unaweza sema hivi "somehow I managed to get the job done" (i.e. in some way, by some means, or for a reason that is not specified).
This boy is so lazy but somehow he passed all his final exams (hapa haina maana kafaulu kidogo, ni kuwa hujaelewa bado imekuwa akafaulu.....ni kama unasema "....kimaajabu, amefaulu" au "ajabu amefalu")
They might serve me along the way kama zinavyokusaidia wewe, I supposeWanna know the reason first, why are you interested.?
Everyone has to live with his own ways, huoni kama utakuwa hujitendei haki..!They might serve me along the way kama zinavyokusaidia wewe, I suppose
How do you know kwamba that is not part of my own way of living Carleen --- looking and imitating any good from people like you? Au haukonazo bestie!???Everyone has to live with his own ways, huoni kama utakuwa hujitendei haki..!
Yes, labda huo mfano wangu si mzuri sana....lakini mara nyingi ukisikiza wengi wanavyotumia utaona wana manaa ya kidogo au nafuu..... na sio kwa uelekeo wa "ajabu" au "kimaajabu"kama wenye lugha yao wanavyotumia. Labda kuanzia sasa jaribu tu kufuatilia ....I understand, but their reply is still correct kabisa ukitafakari.
I will be waitin' thenyou'll have the taste of my hot coffee, just be patient..!
Maelezo yako yanaonesha huelewi maana ya "somehow"!? Nasema uongo ndugu zangu???Yes, labda huo mfano wangu si mzuri sana....lakini mara nyingi ukisikiza wengi wanavyotumia utaona wana manaa ya kidogo au nafuu..... na sio kwa uelekeo wa "ajabu" au "kimaajabu"kama wenye lugha yao wanavyotumia. Labda kuanzia sasa jaribu tu kufuatilia ....
Hapana shida kabisa. Wewe, nielimishe tu bila kujali wengine wanasema nini.Maelezo yako yanaonesha huelewi maana ya "somehow"!? Nasema uongo ndugu zangu???
Soma kwa makini maelezo yako, unapata jibu.Hapana shida kabisa. Wewe, nielimishe tu bila kujali wengine wanasema nini.
Niwekee sentensi moja tu ya kiingereza ya namna sahihi linavyotumika (tofauti na nilizotoa mimi).
Ingekuwa rahisi zaidi wewe kuniambia "umekosea hapa" na "ulitakiwa useme hivi". Sasa ukisema mimi sijui na wewe husemi unachojua, mimi nisiyejua na wewe unayejua hatuna tofauti.Soma kwa makini maelezo yako, unapata jibu.
Naona umeamua kuwa mvivu kusoma na kutumia akili yako, sasa unataka kuazima yangu. Hivi haitoshi kukwambia umekosea hapo, fuatilia kuna kitu??? Unawahi sana kupaniki kama mkurugenzi mfawidhi wa Shirika la Maliasili & Utalii (SMU) asiyejiamini.Ingekuwa rahisi zaidi wewe kuniambia "umekosea hapa" na "ulitakiwa useme hivi". Sasa ukisema mimi sijui na wewe husemi unachojua, mimi nisiyejua na wewe unayejua hatuna tofauti.
Lakini hakuna shida, wacha mada iendelee tu
Wala hatuna haja ya kwenda personal. Tubakie kwenye hoja tu.Naona umeamua kuwa mvivu kusoma na kutumia akili yako, sasa unataka kuazima yangu. Hivi haitoshi kukwambia umekosea hapo, fuatilia kuna kitu??? Unawahi sana kupaniki kama mkurugenzi mfawidhi wa Shirika la Maliasili & Utalii (SMU) asiyejiamini.
cc: CarleenWala hatuna haja ya kwenda personal. Tubakie kwenye hoja tu.
Weka sentensi moja ya kiingereza ukitumia neno "somehow" kwa usahihi. Hilo kama gumu, basi ndugu yangu.....unatunyima haki ya kujifunza kutoka kwako.