Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

anxiety --- eng' - zayati
situate --- sichueit
situation --- sichueshen
sword --- sod
saw --- so
so --- so
see --- sii
sea --- sii

cc: Carleen
 
anxiety --- eng' - zayati
situate --- sichueit
situation --- sichueshen
sword --- sod
saw --- so
so --- so
see --- sii
sea --- sii

cc: Carleen
Hehee,
Hapo penye 'sichueshen' ukimuambia hivyo mbongo ataona kabisa una brag walaqhi'..!!

Kuna namna huwa natamka maneno ya kiingereza darasani wakanipa jina la 'm-british'...!

Kuna mwalimu baada ya presentation akaniita na kuniuliza nilisoma wapi secondary education, nilivyomjibu shule ya kata akakataa kuwa haiwezekani.!!
 
Beep-deep [emoji23][emoji23] kuna mtu hadi leo anatamka deep badala ya beep
Hao wanachanganya herufi "d" na "b" kama wale wanaochanganya "r" na "l"

Kwa wengi, neno "deep" siyo geni kama lilivyo "beep." Mazingira yao yanawavuta.
 
Hehee,
Hapo penye 'sichueshen' ukimuambia hivyo mbongo ataona kabisa una brag walaqhi'..!!

Kuna namna huwa natamka maneno ya kiingereza darasani wakanipa jina la 'm-british'...!

Kuna mwalimu baada ya presentation akaniita na kuniuliza nilisoma wapi secondary education, nilivyomjibu shule ya kata akakataa kuwa haiwezekani.!!
Nalidhani mtu akisema "situeshen" ndo inakuwa sooo? Kingereza kinapaswa kutamkwa kama Kiingereza kama ambavyo sisi tunafurahi kumsikia Mzungu akitamka lugha yetu ya taifa kifasaha.

Neno lingine: education --- ejhu-keshen (baadhi huwa wanakosea wanatamka edu-keshen)!
 
Hata namba ya kutumia baadhi ya maneno, unapata some common problems:

Tizama tu 'watanzania' wengi wanavyotumia neno "somehow" katika sentensi zao. Mara nyingi wanatumia neno hilo wakiwa na maana ya "kidogo" au "nafuu"..... Lakini ki ukweli ni makosa....
 
Hujaweka mfano; hujaonesha namna sahihi ya matumizi!??
 
Nalidhani mtu akisema "situeshen" ndo inakuwa sooo? Kingereza kinapaswa kutamkwa kama Kiingereza kama ambavyo sisi tunafurahi kumsikia Mzungu akitamka lugha yetu ya taifa kifasaha.

Neno lingine: education --- ejhu-keshen (baadhi huwa wanakosea wanatamka edu-keshen)!
Kuna neno niliwahi litamka kama wazungu wanavyotamka kuna beshte angu nilikuwa naye akaniambia usiongee hivyo, watu wataona una mashauzi,
 
Kuna neno niliwahi litamka kama wazungu wanavyotamka kuna beshte angu nilikuwa naye akaniambia usiongee hivyo, watu wataona una mashauzi,
Sasa wewe my bestie unaishije kwa kusetiwa na watu wengine!?? As long as you don't cross their anga, literally, hupaswi kujali sana kisemwacho bali kitumie kama sehemu ya changamoto kama changamoto zingine.
 
Sasa wewe my bestie unaishije kwa kusetiwa na watu wengine!?? As long as you don't cross their anga, literally, hupaswi kujali sana kisemacho bali kitumie kama sehemu ya changamoto kama changamoto zingine.
I only follow my rules sweetheart, nimeongea tu ule ukhalisia wa jamii yetu ulivyo..!!
 
Hujaweka mfano; hujaonesha namna sahihi ya matumizi!??
Unamuuliza: Mr X, how are you today? (Labda alikuwa mgonjwa), anakujibu "mmmh....somehow" (akiwa na maana ana nafuu). Ama "Mr X, is the job done?" (Anajibu "it is somehow done".....hapa akiwa na maana "the job is partly or partially done", mind you mzungu akijibiwa hivyo ataelewa kuwa unasema "kazi imekamilika"....hii confusion imewahi kutokea sehemu....MAKOSA.

Usahihi:
Mfano: Labda umefanikiwa kufanya jambo fulani gumu na hata wewe mwenye huna uhakika namna ulivyofanikiwa......unaweza sema hivi "somehow I managed to get the job done" (i.e. in some way, by some means, or for a reason that is not specified).

This boy is so lazy but somehow he passed all his final exams (hapa haina maana kafaulu kidogo, ni kuwa hujaelewa bado imekuwaje hata akafaulu.....ni kama unasema "....kimaajabu, amefaulu" au "ajabu amefalu")
 
South= Sauth,sielewi kwanini watu wanatamka Thauth
Something= Samthing, sijui Thamthing inakujaje wallahi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha. Unajua tongue twister? She sells seashells on the seashore

Themanini
Thelathini

Hizi ni kasoro za earlier training; ukiangalia physiology za watu hawa kwenye cerebrum utakuta almost permanent structural change of their brain imerekodi matamshi defective. Sasa hawachukui muda ku-unlearn makosa kwa vile ni kama taabu tena kwao.
 
Back
Top Bottom