Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

I understand. Lakini kwa mtu ambaye ndiyo kwanza English anaisikia!? Ndiyo maana ya hiyo simplification. Actually, transcription inaweza kuwa customized kulingana na lugha ya mtu husika almradi kuna lahani (sauti) za silabi za maneno hayo.
Ni kweli mkuu, but IPA (International Phonetic Association) ndiyo inakubalika kimataifa na haijaathiriwa na mother tongue yoyote. It's like SI unit
 
Ndio mkuu, ila kitambo kidogo mambo ya word formation.
Ninalo swali niliwahi ulizwa nimelihifadhi
IMG_20201120_132622_257.jpeg
 
Sheep - shiip (inatamkwa taratibu)
Ship - sheip (inatamkwa haraka)

Quit - inatamkwa haraka
Quiet - inatamkwa taratibu
Quite - inatamkwa haraka
Hii dhana ya "haraka" na "taratibu" haiwakilishi vyema matamshi husika. Unaweza kuyatamka maneno hayo yote haraka au taratibu bila kuathiri matamshi yake sanifu! "Quiet" inakuwa na mahadhi ya kupanda na kushuka kwa sababu ya silabi 2 (kwa-yet"quite," silabi 1; na "quit," silabi 1.
 
Definition inayo chukua zote ni

Is the process which a lexicon may receive affixies.
ndiyo umo unapata ata play inakuwa played"
hapo huewezi sema ume create a word.
Vipi kuhusu go kuwa went, hapo hakuna prefix wala sufixes mkuu.

Nadhani hiyo bado haitoshi, hapo lazima utafute sources zaidi, ukombine definitions kadhaa upate moja ambayo itakidhi hizo word forming processes zote.
 
Iyo ni suppletion kama sikosei kwenye word formation
 
Vipi kuhusu go kuwa went, hapo hakuna prefix wala sufixes mkuu.

Nadhani hiyo bado haitoshi, hapo lazima utafute sources zaidi, ukombine definitions kadhaa upate moja ambayo itakidhi hizo word forming processes zote.
definition haitoshi kabisa
 
mimi neno pandora box wakati nakremisha nilishangaa ndio nini?
 
Back
Top Bottom