Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Ni kweli mkuu, but IPA (International Phonetic Association) ndiyo inakubalika kimataifa na haijaathiriwa na mother tongue yoyote. It's like SI unitI understand. Lakini kwa mtu ambaye ndiyo kwanza English anaisikia!? Ndiyo maana ya hiyo simplification. Actually, transcription inaweza kuwa customized kulingana na lugha ya mtu husika almradi kuna lahani (sauti) za silabi za maneno hayo.