Maneno 'HAPA KAZI TU' yaondolewe kwenye mali za nchi, yanatia aibu na wala hayana maana yoyote

Dr mollel
 
Kwa kweli nakuonea huruma, unastahili huruuma na si kingine. Una mawazo 100% diametrically opposed na Watanzania waliopiga kura 83%/13% clean, kumchagua Rais wao wewe unamtukana?

Kikawaida ungestahili adhabu kali, ni uhaini kupinga uamuzi wa juu kiasi hicho. Adhabu ya uhaini ni kubwa, tena kubwa sana. Watanzania unaweangaliaje machoni hawo 87% walioafiki na msimamo, wakautenda? Tulisema 100% tuhamie Dodoma mwaka 1984 kwa referendum, lakini hatukuenda hadi HAPA KAZI TU. Unataka tufute Dodoma?

Kuna flyovers za Mfugale na Magufuli na tanzanite na Ubungo, matunda ya HAPA KAZI TU, unataka tuzibomoe? SGR inafika Shinyanga, ya umeme, against strong competition from Kenya, ya dizeli, 2x more expensive half as long, HAPA KAZI TU. Air Tanzania inapeleka ukulu wa Tanzania duniani kote, imeboresha usafiri Nchi hii kubwa sana, HAPA KAZI TU, huoni?

Tumevamiwa COVID, mabeberu wakasema tutaokotwa mizoga barabarani wakaokotwa wao, HAPA KAZI TU, umesahau lock down na Mufti na Maaskofu wakiomba huruma ya Mungu kwa pamoja tukapona, HAPA KAZI TU, wewe ulitaka iweje?l

Please say sorry.
 
Kwi Kwi Kwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…