Maneno haya ya Kikwete kwa Rais Samia yana ujumbe mzito mno

Katika hotuba yake kwenye mazishi ya JPM, Jakaya alisema:

"Mimi na wenzangu tuko na wewe. Tutume tutaitika. Usipotutuma tutaendelea na mambo yetu"- JK

My Take: wenzake kina nani? Mambo yao yepi?
Wastaafu
 
Akiwa makamu wa Rais nchi itaendelea kunyoka!! Anaogopwa tayari, mama hatakuwa na Kazi kubwa kukabiliana na wakorofi!!
Uongozi sio kutafutiana na kubambikiana makosa kama alivyokuwa anafanya huyo bashite, kuvamia vituo vya radio na mitutu, Yaani jambazi aje kuwa VP.?

Huyo kwanza asubiri mashtaka yake huko mbeleni maana jinai haina kikomo.
 
We ni rafiki ambae hatujuani .kuna watu wanawaza mambo kwa ugumu sana
 
Kunywa wine ....nitalipa Mei mosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…