Maneno Kuntu kutoka Msemaji wa Jeshi la Madagascar " Haya sio Mapinduzi ni Kitendo cha Uwajibikaji"

Maneno Kuntu kutoka Msemaji wa Jeshi la Madagascar " Haya sio Mapinduzi ni Kitendo cha Uwajibikaji"

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Mapema leo mchana Msemaji wa Jeshi la Madagascar Kanali Michael Randriairina alisema maneno kuntu ambayo yatakumbukwa vizazi na vizazi.

Maneno hayo ni

"Haya sio Mapinduzi, Hiki ni kitendo cha Uwajibikaji"

Tukiwq tunaelekea tarehe 29 Oktoba 2025, macho na masikio yetu Watanzania ni kwa Jeshi letu pendwa JWTZ.
 
Dah! Inauma sana JW wapo busy kulinda mipaka ili adui wa nje hasituue wakati adui yumo ndani anatuua sasa hiyo ina maana gani? JW kwa hili mtusaidie anaeuawa na anayeua nani ni mzalendo na ni nani kati ya hawa wawili ni adui wa nchi?
 
Hapa kwetu nao watende haki kwa wao kuwajibika kuwa upande wa wananchi wanaokataa utekaji, mauaji ya kisiasa, matumizi mabaya ya vyombo vya dola, uporaji wa mali za umma, kukataa demokrasia ya vyama vingi na kusigina katika ya nchi.
 
JWTZ mkishindwa kulikomboa hili Taifa hadi hiyo Oktoba 29 jueni tu hili Taifa linaenda kujifia na mtajutaa kutochukua hatua sasa kwa kuwaogopa Wanasiasa wapumbavu wanaosigina Katiba kila siku na kuliharibu Taifa kwa Ufisadi wa kutisha kila siku.
 
Leo nimeamini kweli watawala ni waoga nilikuwa naangalia matangazo ya BBC kupitia channel ya star tv yake ya saa 5 usiku, nashangaa mtangazaji alivyo anza tu kutangaza habari za jeshi kuchukua madaraka kule Madagascar star tv imekata matangazo fasta 😀
 
CCM hawana akili na ni wajinga kweli kweli. Wanaona wakikata matangazo ndo wanajeshi hawatajua kuwa wenzao wamewashughulikia Wanasiasa Wapumbavu kumbe habari watu wanazo viganjani saivi.
 
Mapema leo mchana Msemaji wa Jeshi la Madagascar Kanali Michael Randriairina alisema maneno kuntu ambayo yatakumbukwa vizazi na vizazi.

Maneno hayo ni

"Haya sio Mapinduzi, Hiki ni kitendo cha Uwajibikaji"

Tukiwq tunaelekea tarehe 29 Oktoba 2025, macho na masikio yetu Watanzania ni kwa Jeshi letu pendwa JWTZ.
Haya sio Mapinduzi, Hiki ni kitendo cha Uwajibikaji"
 
Back
Top Bottom