Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Muda mwalimu bora wa nyakati,muda na viwango kwa mataifa na wanadamu wote.Madagascar kuna jeshi, hapa Tanzania kuna kapteni Tesha
CCM hawana akili na ni wajinga kweli kweli. Wanaona wakikata matangazo ndo wanajeshi hawatajua kuwa wenzao wamewashughulikia Wanasiasa Wapumbavu kumbe habari watu wanazo viganjani saivi.Leo nimeamini kweli watawala ni waoga nilikuwa naangalia matangazo ya BBC kupitia channel ya star tv yake ya saa 5 usiku, nashangaa mtangazaji alivyo anza tu kutangaza habari za jeshi kuchukua madaraka kule Madagascar star tv imekata matangazo fasta 😀
Haya sio Mapinduzi, Hiki ni kitendo cha Uwajibikaji"Mapema leo mchana Msemaji wa Jeshi la Madagascar Kanali Michael Randriairina alisema maneno kuntu ambayo yatakumbukwa vizazi na vizazi.
Maneno hayo ni
"Haya sio Mapinduzi, Hiki ni kitendo cha Uwajibikaji"
Tukiwq tunaelekea tarehe 29 Oktoba 2025, macho na masikio yetu Watanzania ni kwa Jeshi letu pendwa JWTZ.