Sawa mkuuAmen mkuu nashkuru.
nitakutafuta zaidi kwa maombi ya busara zako,bila shaka umeunga mkono kampeni ya moyo wangu dhidi ya jimbo hili la miss natafuta
mkuu hakuna anaeweza kuthibitisha kwamba eti nilikuemo mda humu jamii forum eti kwa sasa nimebadili jina.Kwahiyo huyu ni nani
Wewe ni demissPamoja mkuu.
Yan unamuuliza jibu badala ya swaliWewe ni demiss
hahahhahahahah aje aseme hapa maana hapa tunalishwa tango poriKwani ulikuwa unanyonya nini hadi uachishwe?![emoji15]
huo ni mfano mkuu ambao niliutoa tu kulingana na mazingira na kuna comment fulani ya miss natafuta nilikuwa naidadavua ndyo mana nikatoa mfano ulehahahhahahahah aje aseme hapa maana hapa unalishwa tango pori
labda alishanyonyeshwa huyu anakuja huku kuzuga
Cc. Miss Natafuta njoo utoe ushahidi huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mademu wa bongo ukiwatongoza tu hapo hapo wanaanza kusikia njaa
ohoooo sawa sawahuo ni mfano mkuu ambao niliutoa tu kulingana na mazingira na kuna comment fulani ya miss natafuta nilikuwa naidadavua ndyo mana nikatoa mfano ule
Hivi inawezakana kweli Mimi hapana aisee unapokwenda vitani lazima uwe na caution kuwa huku nnapokwenda sio mahari salama Ila sijasoma comments ya chibonge muda mrefumkuu unajua moyo ni kama askari wa vitani.
moyo unaishi kutokana na mazingira mkuu,ni kama askari wa vitani akienda vitani akakuta mazingira sio rafiki basi atatafuta njia nyenyine ya kusurvive.
utashangaa hana godoro wala mto,lakini akifika vitani hali ikiwa ngumu halali kwa hvyo gorodo halina maana,au akilala basi nguo zake ndiyo godoro na lile begi ndiyo mto wa kuegamia kichwa.
na moyo unakuwa hivyo hivyo mkuu,moyo wenye kupenda basi unaishi kwa mujibu wa mazingira ya yule umpendae huo moyo.
DJ sepetu huyu naye aniitaji interviewNdo zako!
naam ni kweli tahadhari muhimu kwa kila jambo,.lakini kausudia kwamba huyo askari anaishi kwa mijubu wa mazingira ya vita mkuu,.Hivi inawezakana kweli Mimi hapana aisee unapokwenda vitani lazima uwe na caution kuwa huku nnapokwenda sio mahari salama Ila sijasoma comments ya chibonge muda mrefu
ahaha usijali mkuu nashkuru kwa mchango wakoohoooo sawa sawa
maana tulitaka kujua bhana yanayoendelea
teh teh kidding bhana
Hata hatujui maaa[emoji23] kuhisi tuKwahiyo huyu ni nani
poa mkuu subira ni muhimu,naimani hata yeye atapata mapenzi ya kunipendaAmekusikia mkuu. Endelea kuwa na subira
karibuahaha usijali mkuu nashkuru kwa mchango wako
mimi ndiyo mimi mkuu,achana na wanaosema nimekuja na jina jipya,ni uzushi tu ambao hawawezi kuuthibitisha mpaka kiama kisimame.Hata hatujui maaa[emoji23] kuhisi tu
asante sanakaribu