Maneno kutoka moyoni kwangu kwa Miss Natafuta

Maneno kutoka moyoni kwangu kwa Miss Natafuta

Kwahiyo huyu ni nani
mkuu hakuna anaeweza kuthibitisha kwamba eti nilikuemo mda humu jamii forum eti kwa sasa nimebadili jina.

hakuna atakaethibitisha hilo.kwa hvyo watakusumbua kichwa tu mkuu hakuna atakaeweza kuthibitisha kwa hoja na akili sahihi.au huwenda kuna mtu alikuemo humu anafanana na uandishi wangu siwezi jua.
 
hahahhahahahah aje aseme hapa maana hapa unalishwa tango pori
labda alishanyonyeshwa huyu anakuja huku kuzuga
Cc. Miss Natafuta njoo utoe ushahidi huku
huo ni mfano mkuu ambao niliutoa tu kulingana na mazingira na kuna comment fulani ya miss natafuta nilikuwa naidadavua ndyo mana nikatoa mfano ule
 
huo ni mfano mkuu ambao niliutoa tu kulingana na mazingira na kuna comment fulani ya miss natafuta nilikuwa naidadavua ndyo mana nikatoa mfano ule
ohoooo sawa sawa
maana tulitaka kujua bhana yanayoendelea

teh teh kidding bhana
 
mkuu unajua moyo ni kama askari wa vitani.

moyo unaishi kutokana na mazingira mkuu,ni kama askari wa vitani akienda vitani akakuta mazingira sio rafiki basi atatafuta njia nyenyine ya kusurvive.

utashangaa hana godoro wala mto,lakini akifika vitani hali ikiwa ngumu halali kwa hvyo gorodo halina maana,au akilala basi nguo zake ndiyo godoro na lile begi ndiyo mto wa kuegamia kichwa.

na moyo unakuwa hivyo hivyo mkuu,moyo wenye kupenda basi unaishi kwa mujibu wa mazingira ya yule umpendae huo moyo.
Hivi inawezakana kweli Mimi hapana aisee unapokwenda vitani lazima uwe na caution kuwa huku nnapokwenda sio mahari salama Ila sijasoma comments ya chibonge muda mrefu
 
Hivi inawezakana kweli Mimi hapana aisee unapokwenda vitani lazima uwe na caution kuwa huku nnapokwenda sio mahari salama Ila sijasoma comments ya chibonge muda mrefu
naam ni kweli tahadhari muhimu kwa kila jambo,.lakini kausudia kwamba huyo askari anaishi kwa mijubu wa mazingira ya vita mkuu,.

akiishiwa risasi atatumia silaha yeyote hata kujifanya kafa ili tu ahakikishe usalama unapatikana,

muhimu ni kwamba moyo wa kweli haukati tamaa kabisa kwa kile unachokihitaji.utaishi kwa mujibu wa mazingira huo moyo hata kama ni ya hatari lakini usiukose kile unachokipenda.

hata kama anaempenda ana ukimwi basi ataishi kwa tahadhari lakini sio kumuacha eti kwa kuwa labda ana ukimwi...
 
Hata hatujui maaa[emoji23] kuhisi tu
mimi ndiyo mimi mkuu,achana na wanaosema nimekuja na jina jipya,ni uzushi tu ambao hawawezi kuuthibitisha mpaka kiama kisimame.

ikiwa wanahisi basi sawa siwezi kuzuwia mtu kuhisi kwa mujibu wa fikra zake..
 
Back
Top Bottom