Duuh.., remembering long time ago.., essentially siku ya kitei na kayamba=bakuli kubwa la plastic.., special for half life...!!!)))Boy = Mwanafunzi mnaetokea mkoa mmoja
Ng'ande = Kande
Kitei = Wali
Sumu = Uji wa dona
Vitufti/ Mapisi = Mjumuiko wa vitafunwa kama mandazi, bagia, half cakes....
Mtego = mwanamke mrembo, tv au filamu.
Chui = Ugali wa dona
Nakumbuka hilo katara lilikuwa limetelekezwa just in front of the room I was living.., room 8.., kwa skul niliyopitaga enzi hizoo...!!!)))katara = basi la shule
kutoboa = kukesha ukisoma
Sema Ilboru, I stayed in room 4Nakumbuka hilo katara lilikuwa limetelekezwa just in front of the room I was living.., room 8.., kwa skul niliyopitaga enzi hizoo...!!!)))
Hahaha.., nice knowing that some of you guys are also in here..,shwari mkuu...!!!)))Sema Ilboru, I stayed in room 4
Pamoja kijana wa KitemangoHahaha.., nice knowing that some of you guys are also in here..,shwari mkuu...!!!)))
Duh atare nlikuwa pale wazee wa SerbiaMbese - Wali
bondo - ugali
Suti - asubuhi uji, mchana ugali harage na usiku ugali harage...
[HASHTAG]#Kwiro[/HASHTAG] boys a.k.a Uboyzini.
Rungwe boysWali-chenga, nyali
Rungwe boys
Gambe= chakula unachoweka ili uje kukila baada ya muda wa prepo
ihungo nn??Top layer kwenye maharage yale yanayojikusanya sehemu moja kwajuu
ihungo ww??Nguna....ugali
Chenga....wali
Donei ...kuomba upewe kitu
Kimpumu....uji usio na sukari
na tulikuwa tunaacha nguo nje, unaingia choon uchi ili nguo zisisharabu halufu!Kuchukua Manukato - Kwenda uwani ( Chooni kulikuwa kunanuka sana ukiingia lazima utoke na harufu)