Maneno maarufu secondary za bweni

Maneno maarufu secondary za bweni

Boy = Mwanafunzi mnaetokea mkoa mmoja
Ng'ande = Kande
Kitei = Wali
Sumu = Uji wa dona
Vitufti/ Mapisi = Mjumuiko wa vitafunwa kama mandazi, bagia, half cakes....
Mtego = mwanamke mrembo, tv au filamu.
Chui = Ugali wa dona
Duuh.., remembering long time ago.., essentially siku ya kitei na kayamba=bakuli kubwa la plastic.., special for half life...!!!)))
 
Mtu ambaye alikuwa anakula sana na inaonesha hashib aliitwa wakuvuja hahahaha st pio bhana
 
Gambe= chakula unachoweka ili uje kukila baada ya muda wa prepo
Ng'amuzi= demu,msichana mkali kwa sura
Gongo= chai au uji bila ya kitafunwa
Passport size= kunawa uso tu badala ya kuoga
Ting'a=demu,msichana mkali kwa sura
Masabu= vikorombwezo vya ziada unavyotia ktk msosi kabla ya kula
Chapute= chama chao......
Ming'ato= vitafunwa
Nyeri= shilingi mia
HII NI KWA MTWARA TECHNICAL
 
Nyuka -uji
Tope -uji usiowekwa sukari
Kipute - msichana mrembo
Kipori -msichana mwenye sura mbaya
Kwa mama -mgahawani
Busati - ukoko wa wali
Kitomari - andazi
Kulazwa - kukosa nauli
 
Back
Top Bottom