Shareef Conscious
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 522
- 343
Na girlz pia Boarding wanahusika na hzi Masuala!..Kunawa supu=kupiga punyeto kwa wanawake.
Ulikua unanawa supu nn?.Umekosa vitu vingi sana.
Yaani mie tangu drs la 6 to College ni bweni tu.
Ndo mana nina aleji na wanaume....lol.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nguruwe/mswaki-form one
mswaki wa kiangazi-form five
kunyweka-form one kuteswa.
kusoma la nane-kuingizwa uvunguni mwa kitanda.
maolonzo-vyakula kutoka nyumbani wakati wa likizo
kushika bomba-kupiga nyeto
gembe- msichana
kukata gogo-self service
mzee-mtu aliyekupokea unapofika shule, form one
Nauliza tuu mkuu umesoma shule gani??SHIKWAMBI- Shiba kwa mbinu
Isee [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tulikuwa wote hapo sijui kwanini maneno hayo yalitawala shule hizo nilisoma same sec niliyakutavimbuzi=mandazi
wale wa moshi tech,same na old moshi wanajua
Ugonjwa wanguBlack Hermit - Demu mkali ana weusi wa kuvutia.
Nhahahaa umenikumbusha hapokompu (kirefu complicator) ~ mpiga misuli mirefu
Same boys tulikua na room yetu...complicator room...kuingia sa moja usk kutoka 11 alfajr!!!
Bila shaka same boys/secChuma-uji bila sukari
fogo-kiporo
mkoko-gari la shule
nyali-wali
Hiyo ya gambe itakuwa mpya ya juzi....Wengine tulikiita "Halflife"
swadaktaBila shaka same boys/sec
Sasa mbona Avatar yako iko tofauti na maneno yako?Ugonjwa wangu
SifongoKwa Tosa boys watanielewa vizuri
1. Kukosha = Kukariri maumbo ya wadada wapita njia
2. Half mile= Chooni
Hata pugu hii terminilogy ilitumikaKudrop-- wale wa minaki wanajua sana