Maneno maarufu secondary za bweni

Maneno maarufu secondary za bweni

Ku Dish-kuchukua Chakula Ikiwa ni zamU yako
Mchinjo-Kupunjwa chakula
Wazee wa Rocks-Watorokaji
Town leave-Siku ya wiki wa mwisho wa Mwezi ambayo imekwisha ruhusiwa kwa wanafunzi kwenDa nje na mazingira ya Shule mf Mjini, matembezi n.k
DL-Dormitory leader/kiongozi wa Bweni
Kupuliza-Uji pasina kitafunwa
Kuhamisha-Slogan inayotumika ktk kuchukua kitu cha mtu Pasina ruhusa ya Mhusika, Ni sawa na KUIBA ila boarding Wanasema kule hamna kuiba ila kuna KUHAMISHA
KIZIGO-adhabu/kazi
na mengne mengi
 
nguruwe/mswaki-form one
mswaki wa kiangazi-form five
kunyweka-form one kuteswa.
kusoma la nane-kuingizwa uvunguni mwa kitanda.
maolonzo-vyakula kutoka nyumbani wakati wa likizo
kushika bomba-kupiga nyeto
gembe- msichana
kukata gogo-self service
mzee-mtu aliyekupokea unapofika shule, form one
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kusoma la Nane imekaa kibabe sana Mkuu
 
KUKICHEZA= kunyakua msosi kutoka kwenye dish pasipo kugawa kwa utaratibu, hususani form one.
 
Class area - maeneo yaliyo nje ya shule lakini tunaenda kupumzika huko has a jioni
 
Back
Top Bottom