Maneno maarufu secondary za bweni

Duuuu....
 
Cha vumbi-disko vumbi
Horizonto-kusoma ukiwa kitandani umelala
Msongolist- anasoma mwanzo mwisho usiku kucha
P*mbu erosion-kuumwa fangasi sehemu za siri za kiume
Kipunje-Wali

Minaki na Pugu boys hawa[emoji23]
 
Kwa waliosoma seminari. Mwana P.= mliotoka parokia moja
 
Kwann muoge na kufua usiku sasa?!

Sababu kuu iliyokuwa inanifanya niwe nafua na kuoga usiku ni kwa sababu wakati wa mchana wanaofua na kuoga ni wengi na mimi nilikuwa sipendi kugombania so nilikuwa napenda kufua na kuoga usiku kwa sababu ni nyakati ambazo naweza kufanya shughuli zangu bila kubugudhiwa na mtu.
 
Nyali=wali
Kubunda=kukesha ukisoma tulitumia o level hiyo
Kutoboa ozone =kukesha ukisoma tulitumia a level

Kukomunika=kula mkate kwa chai mchana wakati boom limekata
 
Kwa Tosa boys watanielewa vizuri
1. Kukosha = Kukariri maumbo ya wadada wapita njia
2. Half mile= Chooni

Hii itakuwa tosamaganga tu.
...... kudrop = kwenda town
 
paper two- kurudia chakula (lyamungo boyz wanajua)
kusuza rungu- kufanya mapenzi na mwanafunz mwenzio
msongo _ mtu anayetia msuli au kusoma kama katumwa na kijiji
 
Kubundi ... Kujisomea usiku

Room mate ... Mchumba

Kistobe ... Note unayomuandikia rafiki kwenye kipande cha karatasi
 
Ahaaa ngunga -ugali,nyali -wali,spay -wanafunzi wakuda wamepewa kaz na walimu kusaka taarifa za maovu ya wenzao
 
Vimbuzi=maandazi
Pora/maunga=uji
Bondo=ugali
Kupiga msuli=kusoma
Kutoboa=kukesha unasoma usiku kucha
 
Kilosa secondary school (kizu boys)


Nyali=wali
Kupiga mbonji=kusinzia/kulala
Lumba= container la chakula
Kunyetuka=kusoma usiku sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…