shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Nyari - wali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuu....Njuka - Form one
Nyumbu wa kiangazi - form five
Madungulushi - vyakula kutoka home
Machale - akari polisi
Panya - spy wa walimu
Trees - nyama
Nyali - wali
madoa - wasichana wanaotoka shule jirani kuja disco
anasa - maandazi
Dah! Mbali sana, enzi hiyo akikatisha demu hapo skuli basi ni miluzi tupu na watu kutoroka madarasani hata kama kuna mwalimu.
Kwann muoge na kufua usiku sasa?!
Kwa Tosa boys watanielewa vizuri
1. Kukosha = Kukariri maumbo ya wadada wapita njia
2. Half mile= Chooni
katara = basi la shule
kutoboa = kukesha ukisoma