Kuvunja mifupa~ siku ya disco sketi ya shule inapigwa bonge la hemming iwe kimino. Afu itafumuliwa baadae maanke uniform lazm iwe chini ya goti. Kitendo cha kuifupisha kwa muda ndo kuivunjisha mifupa.
Cc Madame B, nahisi unahusika sana.
Uchupa
half life = kuacha koporo ili ule kesho
Bundi = anaesoma usiku kucha
Kama wanaosoma usiku kucha wanaitwa bundi na sie tuliekuwa tunafua na kuoga usiku wa manane wakati watu wameshalala kama wachawi tutaitwaje?
Popo watu.
Kayamba = Bakuli kubwa lenye kuchukua chakula kingi
Horizontal = Kusoma ukiwa umelala kitandani
Kuzamia = Kuingia kwenye sherehe pasipo mwaliko rasmi
Passport size = Kunawa nusu ya mwili ili kuepuka kuoga
Mwezi dume- kuishiwaMau=hedhi kwa akina dada.
Amehang (tamka ameheng'i)=kuishiwa pesa za matumizi boarding.
Mwezi dume- kuishiwa
Umenikumbusha mbali kugombania tuftiii......ha ha ha ha ha haaaaaaaBoy = Mwanafunzi mnaetokea mkoa mmoja
Ng'ande = Kande
Kitei = Wali
Sumu = Uji wa dona
Vitufti/ Mapisi = Mjumuiko wa vitafunwa kama mandazi, bagia, half cakes....
Mtego = mwanamke mrembo, tv au filamu.
Chui = Ugali wa dona
He he heeee.........Kunawa supu=kupiga punyeto kwa wanawake.