Salary Eclipse
Senior Member
- Sep 5, 2016
- 188
- 122
Misemo yote inanirudisha Iyunga. Bondi na lolezaNani anaikumbuka mzukila...?
Bondi- kuwa na demu wa kucheza nae disco (wa mzumbe tulikuwa na bond kilakala a.k.a kiley)
Iyunga mbeya?Misemo yote inanirudisha Iyunga. Bondi na loleza
Hahahaha kwa hyo nikitka kujua maku yko ikoje nimtafte uliyesoma naye cna haja ya kukuulza wewKama kawa.
Ila mie nilikuwa Kiranja, nilikuwa napigishwa.
Hahah...Utakua umesoma kwa "wamenye" pale. Wenyewe wanaiita "sekondari"!😀😀
Umesoma milamboKupuliza=kunywa uji bila kitafunwa
paper two=ukoko wa wali
kutoboa=kukexha kuxoma
Zombie=tv
jicho= spy wa waalimu, maharage =sumu ya wasomi,
Ndanda boyz mkuuUmesoma milambo
We unaonekana wa TosamagangaHalf mile=chooni.