Maneno maarufu secondary za bweni

Maneno maarufu secondary za bweni

Uji - fongo
Kusoma - kubundi
Mtu anayejesha - bundi
Ugali - nguna
 
Uje na mbuzi=uje na mkate

Mzee wa Quanta=mwalimu wa chemistry

Shallow boy=mwalimu asiye kuwa na Nondo

Njoo nikutemee madini=njoo nikupe material/nikupge pindi

Vimnyama...samaki wadogo wadogo

Maharage ya leo yana protein za kutosha=maharage yenye wadudu
 
Mbese - Wali
bondo - ugali
Suti - asubuhi uji, mchana ugali harage na usiku ugali harage...

[HASHTAG]#Kwiro[/HASHTAG] boys a.k.a Uboyzini.
 
katala.....maandazi
pola....uji
nguna.....ugali
mambo ya njombe sec
 
Back
Top Bottom