Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao aaa...na hai xing ba!
你在武汉那个大学?
Mnatunyanyasaje?
Nifundishe na mimi.
Tunaendelea
kunywa=kukarili
keki nyeupe=ugali
chai ya kininja=chaiîsiyo kuwa na sukar
vidonge va njaa=maharage
Kuendesha ndege = kuzunguka ukiomba msaada kwenye msosi ie sukari, majani ya chai, peanut butter etc
Lyamungo boys iyo wayback!!
Pa1 sana mze wa fongo, chenga, maputo nk.
du! Nyie mlizidi, mlikuwa mnawaita nguruwe??nguruwe/mswaki-form one
Wakuu,amani kwenu...
Ningependa tukumbushane maneno maarufu yaliyokuwa yanatumika shule za secondary hasa boarding.
Mi nakumbuka maneno kama:
1.Njuka,kitimoto,mkia,nyoya=form one
2.Kufufuka=kuamka usiku kusoma.
3.Kuwa Mongwe= Kuishiwa pesa.
Sifongo=Uji usiokuwa na sukari.
4.Kuchoma=Kuingia bwenini ukiwa umevaa viatu/kandambili
5.Top layer=watoto waliokuwa wanakuja kuchukua mabaki ya vyakula.
6.Nelkon,Abbot,Lambert,Lodgers,UP,BS,Mkate,Jacky Fernandes,Nalndel Kumar=miongoni mwa vitabu maarufu vya sayansi.
Mnaweza kuendeleza list...
mzee zizzou (manase) ivi bado yupo??