Maneno maarufu secondary za bweni

Maneno maarufu secondary za bweni

Zoga-kiporo
Zigo-adhabu
Mnazi-kusimamisha demu usiku
Kutaga-kufeli
Nyau-mmbea
 
Boy = Mwanafunzi mnaetokea mkoa mmoja
Ng'ande = Kande
Kitei = Wali
Sumu = Uji wa dona
Vitufti/ Mapisi = Mjumuiko wa vitafunwa kama mandazi, bagia, half cakes....
Mtego = mwanamke mrembo, tv au filamu.
Chui = Ugali wa dona
Kwa vimsemo hivi kuna uwezekano wewe ni kutoka Ilboru
 
Kayamba = Bakuli kubwa lenye kuchukua chakula kingi
Horizontal = Kusoma ukiwa umelala kitandani
Kuzamia = Kuingia kwenye sherehe pasipo mwaliko rasmi
Passport size = Kunawa nusu ya mwili ili kuepuka kuoga
Ilboru style
 
Utakua umesoma kwa "wamenye" pale. Wenyewe wanaiita "sekondari"!😀😀
 
kubundi/kusoma
kukikoka/kusoma usiku
kutoboa/kusoma usiku kucha
half life/kiporo
kitei/wali
"form one wa kiangazi"/Form 5
bondo/ugali
nyuka/uji
tope/uji
yengu/"toplayer"
bwiko, mbwiko/ mshamba
kipungo/baridi
rangi/"mademu"
graduu/graduation
nk nk

Shule za bweni ilikuwa na raha zake.
 
Nguna....ugali
Chenga....wali
Donei ...kuomba upewe kitu
Kimpumu....uji usio na sukari
 
Back
Top Bottom