Maneno maarufu secondary za bweni

Maneno maarufu secondary za bweni

Kuchukua Manukato - Kwenda uwani ( Chooni kulikuwa kunanuka sana ukiingia lazima utoke na harufu)
 
Nani anaikumbuka mzukila...?
Bondi- kuwa na demu wa kucheza nae disco (wa mzumbe tulikuwa na bond kilakala a.k.a kiley)
Mzumbe Kilakala= Mzukila
Kilakala (every colour) Box 40 Morogoro.
Mzumbe Boxv19 Mzumbe Moro
 
Back
Top Bottom