Maneno maarufu secondary za bweni

Maneno maarufu secondary za bweni

nguruwe/mswaki-form one
mswaki wa kiangazi-form five
kunyweka-form one kuteswa.
kusoma la nane-kuingizwa uvunguni mwa kitanda.
maolonzo-vyakula kutoka nyumbani wakati wa likizo
kushika bomba-kupiga nyeto
gembe- msichana
kukata gogo-self service
mzee-mtu aliyekupokea unapofika shule, form one
 
yengu-top layer
ng'enyu-
nyuka-uji
beche-wali
kujengea-kumlibda form1
Ilikuwa Ifunda Tech miaka ya 80-90
 
sumu uji usio na sukari, makana ugali wa dona, pota toilet
 
Beto=maliwatoni
kudrop=kutoroka shule
kutoboa=kukesha ukisoma niko p*mbu=sina hela
 
Back
Top Bottom