kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Hii ndiyo Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo mleta mada aliposhindwa kujitanua kupafikia hasa ktk maana pana ya neno lacal kuwa neno hili pia humaanisha UENYEJI hivyo hata kitu kikifanyika below standards watu husema kiko locally na hakuna kosa lolote.Ninavyojua
Local = Kienyeji
Umevaa kilocal, una mambo local = umevaa kienyeji, una mambo ya kienyeji n.k.
Kampuni nyingi za magari, eneo lao la kukatia tiketi hua ni hilo hilo wanahifadhi mizigo. Ulipoambiwa peleka mizigo booking office kwa mazingira yetu walikua sahihi.
Gari zote pick-ups za polisi utasikia Defender hata kama ni Toyota Landcruiser.Kudeep (kubeep)
Element (Helmet)
Shell (petrol station)
Locally .... Ni ya kienyeji. Personality ni yenye hadhi,,, na booking OFFICE... Ni SEHEMU ya kukatia ticketi mbona wapo sahihi tu...
Wapo sawa,,, booking ishakuwa ni neno LA kiswahili tayariAisee kanifanyie "booking" basi la Iringa la Shabibi la kesho kutwa alfajiri la saa 12 asubuhi. Wapo sawa tu. Booming imekwisha-Swahilishwa.
Kwenye local napingana nae.Ninavyojua