Maneno matatu ya Kiingereza yaliyobadilishwa maana yake hapa Tanzania

Hapo ndipo mleta mada aliposhindwa kujitanua kupafikia hasa ktk maana pana ya neno lacal kuwa neno hili pia humaanisha UENYEJI hivyo hata kitu kikifanyika below standards watu husema kiko locally na hakuna kosa lolote.
 
Wageni wakiagizia roasted chicken wanakutana na kuku aliepikwa yaani full rojo....
 
Locally .... Ni ya kienyeji. Personality ni yenye hadhi,,, na booking OFFICE... Ni SEHEMU ya kukatia ticketi mbona wapo sahihi tu...

Aisee kanifanyie "booking" basi la Iringa la Shabibi la kesho kutwa alfajiri la saa 12 asubuhi. Wapo sawa tu. Booming imekwisha-Swahilishwa.
 
Aisee kanifanyie "booking" basi la Iringa la Shabibi la kesho kutwa alfajiri la saa 12 asubuhi. Wapo sawa tu. Booming imekwisha-Swahilishwa.
Wapo sawa,,, booking ishakuwa ni neno LA kiswahili tayari
 
Kwenye local napingana nae.
 
Safi sana [emoji16] orodha hii imependeza sana! Kuna mifano mingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…