BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
nimeipnda signature yako mkuuYaani Arsene Winger kampiga mtu bao 3? Aongezewe mkataba.
Huyu Ivan na group lake si ndio alikuwa wa kwanza kumkashifu Zari ameolewa na masikini? Diamond amewajibu tu maneno yao waliyomsema hana kosaWakat akiendelea kuomba msamaha akajibiwa ...."Acha mimi masikini na wanangu tutaishi vizuri katika nyumba ya kupanga, wewe tajiri ishi na wanao ktk nyumba ya kununua na mwenzio."
Diamond if he is a real man as he claims himself namshaur aende uganda akaongee man to man na mshikaj yaishe tu maana i can sense something fishy coming along the way...
Diamond pesa zisikuchanganye kias hicho you are better than that.
Kama mimi tu sijaelewa kabisaNani aliambiwa hayo maneno? Ivan kaambiwa na Zari au Zari kaambiwa na Ivan? Nimetoka kapa. Nani alikua anaomba msamaha?
Huu mchezo hauhitaji hasiraHuyu Ivan na group lake si ndio alikuwa wa kwanza kumkashifu Zari ameolewa na masikini? Diamond amewajibu tu maneno yao waliyomsema hana kosa
Ivan kamwambia zariNani aliambiwa hayo maneno? Ivan kaambiwa na Zari au Zari kaambiwa na Ivan? Nimetoka kapa. Nani alikua anaomba msamaha?
Aachwe kwanza mpaka afungwe na man uYaani Arsene Winger kampiga mtu bao 3? Aongezewe mkataba.