Maneno mazito ya Ivan kwa Zari

Maneno mazito ya Ivan kwa Zari

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Wakat akiendelea kuomba msamaha akajibiwa ...."Acha mimi masikini na wanangu tutaishi vizuri katika nyumba ya kupanga, wewe tajiri ishi na wanao ktk nyumba ya kununua na mwenzio."

Diamond if he is a real man as he claims himself namshaur aende uganda akaongee man to man na mshikaj yaishe tu maana i can sense something fishy coming along the way...

Diamond pesa zisikuchanganye kias hicho you are better than that.
 
Huyu Ivan na group lake si ndio alikuwa wa kwanza kumkashifu Zari ameolewa na masikini? Diamond amewajibu tu maneno yao waliyomsema hana kosa
 
Nani aliambiwa hayo maneno? Ivan kaambiwa na Zari au Zari kaambiwa na Ivan? Nimetoka kapa. Nani alikua anaomba msamaha?
 
Huyu Ivan na group lake si ndio alikuwa wa kwanza kumkashifu Zari ameolewa na masikini? Diamond amewajibu tu maneno yao waliyomsema hana kosa
Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Hayo maneno ivan kayasemea wapi?source pz
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ha ha ha ha kwa ile jeur ya Ivan kipind kile kwa chibu kwel this time kashikwa mahala husika mpka kawa mpole hvyo
 
Back
Top Bottom