mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Enzi hizo ninakimkataba cha mwaka mmoja ndio nimebakiza mwezi ni renew nikatibuana na deputy manager akaniuliza "when are you going to renew your contract? " nikamjibu bado kama mwezi hivi!... akaniambia "your days are numbered"
Roho iliniuma! Ila sikumjibu week tatu mbele zilikuwa ngumu sana......Kibaya siku sita kabla sija sign mkataba wangu akatimuliwa yeye... karma achana nayo.
Hukumwambia chochote kumpongeza mkuu?