Maneno ya Ally Kamwe baada ya matokeo ya mechi ya Simba vs Mashujaa asema "tuwaheshimu viongozi wetu"

Maneno ya Ally Kamwe baada ya matokeo ya mechi ya Simba vs Mashujaa asema "tuwaheshimu viongozi wetu"

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,527
Reaction score
14,881
Meneja wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍🏿

"Kwa mlioyaona Leo Wanayanga na bado Timu yetu inaongoza Ligi .. Ni Ishara kuwa Tunapaswa kuwaheshimu na Kuwaombea sana VIONGOZI WETU

Sio rahisi hata kidogo, Ingekuwa ni watu dhaifu wangeshakata Tamaa. Vita wanayopigana Msimu huu ili sisi Tupate Furaha ni KUBWA SANA

M/Mungu aendelee kuwapa nguvu, Ujasiri na Subra ya kuendelea kupambana mpaka mwisho In Shaa Allah

Tuseme Ameen Wananchi wenzangu.".

20250502_223151.jpg
 
View attachment 3323087
Asisahau ya Ramadhan Kayoko na hili goli la Bacca nalo angeliweka hapa ingependeza sana
 
Attachments

  • FB_IMG_1738771812094.jpg
    FB_IMG_1738771812094.jpg
    52.4 KB · Views: 33
Ni kweli viongozi wa Utopolo wanapambana sana kuwapa furaha mashabiki wa utopolo ndo maana wamekimbia mechi na mtacheza tu
 
Mwanasheria ameona hii ni fedheha kaamua kuachia ngazi.

Jitu la mchongo
 
Hii ni wiki ngumu sana kwa Utopolo
1. Wametwaa kombe la Muungano🤣
2. Simba kafyeka chaka lao Cafcc
3. Simba katinga fainali mpaka sasa ameshikilia mkononi medali kama zao
4. CAS wamefanya yao
5. Manara kadai mke wa mabosi zake wamechonga shape, fake shape🤣
6. TFF TPBL wanapanga ratiba ya derby ya Kariakoo🦁vs🐉
7. Wanaowahonga watukazie ili wao wawe mabingwa wa mchongo Mnyama anawatafuna
IMG_20250427_222453.JPG
 
Back
Top Bottom