Maneno ya Ally Kamwe baada ya matokeo ya mechi ya Simba vs Mashujaa asema "tuwaheshimu viongozi wetu"

Maneno ya Ally Kamwe baada ya matokeo ya mechi ya Simba vs Mashujaa asema "tuwaheshimu viongozi wetu"

Katika kitu ambacho tumekosea ni huyu Kamwe. Jerry Muro arudishwe haraka.
 
Meneja wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍🏿

"Kwa mlioyaona Leo Wanayanga na bado Timu yetu inaongoza Ligi .. Ni Ishara kuwa Tunapaswa kuwaheshimu na Kuwaombea sana VIONGOZI WETU

Sio rahisi hata kidogo, Ingekuwa ni watu dhaifu wangeshakata Tamaa. Vita wanayopigana Msimu huu ili sisi Tupate Furaha ni KUBWA SANA

M/Mungu aendelee kuwapa nguvu, Ujasiri na Subra ya kuendelea kupambana mpaka mwisho In Shaa Allah

Tuseme Ameen Wananchi wenzangu.".

View attachment 3323087
Nikweli kabisa tunapaswa kuwaheshimu sana viongozi wetu.
 
Asisahau ya Ramadhan Kayoko na hili goli la Bacca nalo angeliweka hapa ingependeza sana
Hawa jamaa Sasa hivi wanateseka sana baada ya vichaka vyao vingi kujulikana na kuanza kufyekwa.

Walikimbia uwanja wa Azam baada ya azama kuwa expose mambo Yao ya sindano na uganga.
 
Refa wa Jana ni kolo pure
 

Attachments

  • 1746271581939.jpg
    1746271581939.jpg
    312.6 KB · Views: 12
Uzuri point 3 hazirudi na mpira umeshawekwa kibindoni...
Ww kama unataka maumivu mfululizo endelea kuumia...
Naona una maumivu mtambuka
 
Back
Top Bottom