Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,527
- 14,881
Asisahau ya Ramadhan Kayoko na hili goli la Bacca nalo angeliweka hapa ingependeza sanaMeneja wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika βπΏ
"Kwa mlioyaona Leo Wanayanga na bado Timu yetu inaongoza Ligi .. Ni Ishara kuwa Tunapaswa kuwaheshimu na Kuwaombea sana VIONGOZI WETU
Sio rahisi hata kidogo, Ingekuwa ni watu dhaifu wangeshakata Tamaa. Vita wanayopigana Msimu huu ili sisi Tupate Furaha ni KUBWA SANA
M/Mungu aendelee kuwapa nguvu, Ujasiri na Subra ya kuendelea kupambana mpaka mwisho In Shaa Allah
Tuseme Ameen Wananchi wenzangu.".
View attachment 3323087
Hasa ukichanganya na mrejesho uliotoka CAS raha iliyoje vyura wakiteseka.Watu weuweeeee!! Naona rahaa mie, yaan full burudaniii.
ππππππ
Hapo sasa, full kuburudikaaaa.Hasa ukichanganya na mrejesho uliotoka CAS raha iliyoje vyura wakiteseka.
Huwa nafarijika sana vyura wakitesekaHapo sasa, full kuburudikaaaa.
ππππππ
Waache wenzako basi duu! unawapeleka puta ivi kama wewe huna moyo wa nyamaMnasumbuliwa na ujinga tu. Vit vita gani. Si muende Congo RC mkapambane na M23View attachment 3323126View attachment 3323128