Maneno ya Ally Kamwe baada ya matokeo ya mechi ya Simba vs Mashujaa asema "tuwaheshimu viongozi wetu"

Katika kitu ambacho tumekosea ni huyu Kamwe. Jerry Muro arudishwe haraka.
 
Nikweli kabisa tunapaswa kuwaheshimu sana viongozi wetu.
 
Asisahau ya Ramadhan Kayoko na hili goli la Bacca nalo angeliweka hapa ingependeza sana
Hawa jamaa Sasa hivi wanateseka sana baada ya vichaka vyao vingi kujulikana na kuanza kufyekwa.

Walikimbia uwanja wa Azam baada ya azama kuwa expose mambo Yao ya sindano na uganga.
 
Refa wa Jana ni kolo pure
 

Attachments

  • 1746271581939.jpg
    312.6 KB · Views: 12
Uzuri point 3 hazirudi na mpira umeshawekwa kibindoni...
Ww kama unataka maumivu mfululizo endelea kuumia...
Naona una maumivu mtambuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…