Maneno ya Biblia Yaliyowavuruga Wanafalsafa Niccolo Machiavelli na Karl Marx

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,611
Mathayo 5:5. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.

Niccolo Machiavelli, a statesman of the 16th century; he was a philosopher who was contaminated just by trying the flavour of politics. He invented his model which outlined ruthless strategies of seizing power like this:-

Never show humility: Arrogance is far more effective when dealing with others.

Morality and ethics are for weak: Powerful people feel free to cheat and deceive whenever it suits their purpose.

It is much better to be feared than to be loved.

1645168121619.png

Mathayo 5:3 Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Karl Marx wrote this:
"Religion is the opium of the people" (which is usually translated as "religion is the opiate of the masses")

He discouraged the use of religion to topple Imperialism (Imperialism in the dynamics of Metropolitan Capitalism)

1645168189860.png

(Alikuwa anapaka Superblack kwenye mustach tu)

Taswira zote kwa hisani ya google.

NB.
Je, falsafa zao zina mashiko (ukweli) katika dunia ya leo?
 
Hapo Mathayo 5:5 inayosema Heri wenye upole kwa Maana watairithi Nchi....

Nchi inayozungumziwa hapo siyo Nchi Kama Tanzania, Kenya Au Ujerumani...

Ukisoma kwenye tafsiri Tofauti Tofauti za Biblia ya kiingereza Neno Nchi Lina Manisha Ardhi (Land)

Na Hilo andiko lingine linasema Maskini wa Roho na Siyo Maskini wa Mwili.....

Nasisitiza Tena imeandikwa MASKINI WA ROHO....
au unaweza Semaa MUHITAJI WA MAMBO YA ROHONI.

Kuna Tofauti ya MASKINI WA ROHO na MASKINI WA MWILI.

Biblia haikusema Heri walio Maskini wa Mwili Bali imesema Heri walio Maskini wa Roho na hayo Ni maneno mawili tofauti..
 
Mkuu Nature,

Hapo ndipo Walimu wa dini wanatuvuruga.

Kwa asilimia 99% imethibitika kwamba dini hasa ya Ukristo zinafundisha kwamba mambo yote ya mwilini yanaanzia Rohoni kwanza, Roho ndiyo ilitangulia kuumbwa, ikafuata Nafsi na ndipo Mwili.

Kwamba Roho ndiyo injini ya Mwili na Nafsi.

Hivyo basi kumbe umaskini wa Mwilini unaanzia kwenye Roho, sasa kama Roho ni maskini basi hakuna mwili duniani utakuwa tajiri, Roho ni maskini na mwili nao ni maskini haijalishi ama wa mali, maarifa ya Mungu, Ufalme wa Mbinguni au Ufalme wa Mungu (ikumbukwe kuna Ufalme wa Mbinguni na Ufalme wa Mungu).
 
Mathayo 5:5. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.

Niccolo Machiavelli, a statesman of the 16th century; he was a philosopher who was contaminated just by trying the flavour of politics. He invented his model which outlined ruthless strategies of seizing power like this:-

Never show humility: Arrogance is far more effective when dealing with others.

Morality and ethics are for weak: Powerful people feel free to cheat and deceive whenever it suits their purpose.

It is much better to be feared than to be loved.

View attachment 2122662

Mathayo 5:3 Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Karl Marx wrote this:
"Religion is the opium of the people" (which is usually translated as "religion is the opiate of the masses")

He discouraged the use of religion to topple Imperialism (Imperialism in the dynamics of Metropolitan Capitalism)

View attachment 2122664

(Alikuwa anapaka Superblack kwenye mustach tu)

Taswira zote kwa hisani ya google.

NB.
Je, falsafa zao zina mashiko (ukweli) katika dunia ya leo?
Magufuli alikuwa mfuasi wa Niccolo Machiavelli akiblend kidogo na Nyerereism
 
Hahahahaaaa... Good analysis. I quote his two remarks:-

..."I don't believe in failure..." He told BRT which failed to realize turnover and submit dividend.

..."I and PM have decided to sacrifice our lives for the betterment of Tz..." State of the nation address, Magogoni.
 
Mathayo 5:5. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.

Niccolo Machiavelli, a statesman of the 16th century; he was a philosopher who was contaminated just by trying the flavour of politics. He invented his model which outlined ruthless strategies of seizing power like this:-

Never show humility: Arrogance is far more effective when dealing with others.

Morality and ethics are for weak: Powerful people feel free to cheat and deceive whenever it suits their purpose.

It is much better to be feared than to be loved.

View attachment 2122662

Mathayo 5:3 Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Karl Marx wrote this:
"Religion is the opium of the people" (which is usually translated as "religion is the opiate of the masses")

He discouraged the use of religion to topple Imperialism (Imperialism in the dynamics of Metropolitan Capitalism)

View attachment 2122664

(Alikuwa anapaka Superblack kwenye mustach tu)

Taswira zote kwa hisani ya google.

NB.
Je, falsafa zao zina mashiko (ukweli) katika dunia ya leo?
Mkuu sawa lakini huyu ni nani Sasa ni Niccolo au Max
 
Nadhani wote wawili wangekuwepo enzi za Mitume basi wangetafuta kichwa cha Mathayo, maana Paulo kidogo alifanana nao. Soma kifungu hiki cha Paulo, tone yake ni kama ya Machiavelli na Marx:-

Wagalatia.3​

1. Enyi Wagalatia, mmekuwa wajinga kweli! Ni nani aliyewaroga? Habari juu ya kusulubiwa kwake Yesu Kristo ilielezwa waziwazi mbele ya macho yenu.

2. Napenda kujua tu kitu kimoja kutoka kwenu: Je, mlipokea Roho wa Mungu kwa sababu ya kutimiza matakwa ya sheria ama kwa sababu ya kuisikia na kuiamini Injili?

3. Je, nyinyi ni wajinga kiasi hicho? Nyinyi mlianza yote kwa msaada wa Roho, je, mnataka sasa kumaliza kwa nguvu zenu wenyewe?

4. Je, mambo yale yote yaliyowapata nyinyi yamekuwa bure tu? Haiwezekani!

5. Je, Mungu huwajalia Roho na kutenda miujiza kati yenu ati kwa sababu mnatimiza yanayotakiwa na sheria, ama kwa sababu mnasikia Injili na kuiamini?

6. Chukueni kwa mfano habari za Abrahamu: Yeye alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.

NB:
Aidha, Paulo alikuwa Martyred kama Karl Marx ambaye aliamua kuishi (kujificha) maktaba kwa miaka 40 akiandika/akiasisi Marxism na kuacha familia yake kutunzwa na Engels.

Paulo naye alighairi kuoa ili 100% ya muda wake awekeze kwenye Injili badala ya familia.

Nabii Musa naye aliamua kuchukuwa mkewe Zipporah na watoto wao Gershom na Eliezer akawarudisha jumla kwa babamkwe Yethro (akavunja udugu) ili muda wake wote 100% aelekeze kwenye kazi za Unabii badala ya kuugawa kwa ajili ya kutunza familia.

Paulo, Musa, Machiavelli na Marx walikuwa na roho moja ya kuleta mabadiliko na kuondoa unyonge, ilhali Mathayo alikuwa Beberu aliyetoza ushuru toka kwa wanyonge.

Marx na Machiavelli walijikinai (walijitengenezea faraka) na Injili ya Mathayo.

Asomaye na afahamu!
 
Mkuu Nature,

Hapo ndipo Walimu wa dini wanatuvuruga.

Kwa asilimia 99% imethibitika kwamba dini hasa ya Ukristo zinafundisha kwamba mambo yote ya mwilini yanaanzia Rohoni kwanza, Roho ndiyo ilitangulia kuumbwa, ikafuata Nafsi na ndipo Mwili.

Kwamba Roho ndiyo injini ya Mwili na Nafsi.

Hivyo basi kumbe umaskini wa Mwilini unaanzia kwenye Roho, sasa kama Roho ni maskini basi hakuna mwili duniani utakuwa tajiri, Roho ni maskini na mwili nao ni maskini haijalishi ama wa mali, maarifa ya Mungu, Ufalme wa Mbinguni au Ufalme wa Mungu (ikumbukwe kuna Ufalme wa Mbinguni na Ufalme wa Mungu).
Mkuu nimeelewa unachomaanisha ila labda bado hujanielewa

Je Nini Maana ya Neno MASKINI au UMASKINI ?

Maskini Maana yake Ni MUHITAJI...yaani Mtu aliyepungukiwa na kitu au asiyenacho kabisa...

Sasa Biblia Inaposema HERI WALIO MASKINI WA ROHO ina Maana ya kwamba HERI WALIO NA UHITAJI WA MAMBO YA ROHO....

ikiwa na Maana kwamba ikiwa wewe ni Maskini wa Roho na ukajitambua Hivyo Basi ni kwamba utachukua Hatua zaidi ili uachane na huo umaskini wa Roho

Lakini ukijiona wewe Ni Tajiri wa Rohoni utabweteka na kujawa na Kiburi, Majivuno na utakosa unyenyekevu wa Kutulia kuendelea kujifunza zaidi Mambo ya Rohoni

Kwa mfano Kama umesoma Sana na Una Elimu ya Juu Sana (Multisectoral) unapaswa ujinyenyekeze zaidi na kuwa Maskini wa Rohoni ili Kusudi uendelee kufungua ufahamu wako ili ujifunze zaidi...kwa Maana wasomi wengi huwa wana Dharau..na wakikuona umeishia Darasa la Saba au Form four wanaona Kama wewe siyo saizi yao...

Na ndiyo Maana utakuta hata waliopingana na mafundisho ya YESU Ni wasomi wa Sheria, Waalimu na Mafarisayo kwa Maana walikuwa wanajiona wana Elimu ya Juu ya Dini na hawana haja ya kupoteza muda Kumsikiliza Kijana mdogo wa Seremala YESU.

Na Yesu kwa kulijua Hilo akawatahadharisha katika Mathayo 5:3 kwa Kuwaambia, "Heri walio Maskini wa roho kwa Maana ufalme wa Mbinguni Ni wao.

Na ndiyo Maana Karibu asilimia kubwa ya Mitume wa Yesu walikuwa Ni watu wasio na Elimu Sana kwa Maana wenye Elimu walimpuuza
Soma
Matendo 4:13 Basi walipoona ujasiri wa Petro na Yohana na kuwajua ya kuwa Ni watu wasio na Elimu na maarifa, wakastaajabu, wakatambua ya kwamba walikuwa pamoja na Yesu.

Hata Kama wewe umesoma Vipi una hekima na unajua vingi kiasi gani (Tajiri wa Roho)
Unapaswa kuwa mnyenyekevu na msikivu Sana Kama vile hujui kitu kabisa...

Na hiyo itakusaidia na kukulinda Sana kwa Maana Kuna Mtu anaweza kuja na Kuzungumza na wewe na kakudanganya akidhani hujui kitu kumbe unajua kuliko yeye Sema umepiga kimya...

Lakini Ukiwa Mjuaji Sana Kuna wakati watu wanaokuzunguka watajua Kuna hatari au Jambo baya linakukaribia na watakaa kimya kwa Maana wanakuogopa kwa Sababu ya Dharau na majivuno na Utapata Shida...

Na unapaswa ufahamu kilichomuangusha shetani (lucifer) siyo Uzinzi , Wizi, Wala uuaji Bali Ni matokeo ya kujiona Tajiri wa Rohoni
Soma vizuri
Ezekieli 28:17- Moyo wako uliinuka kwa Sababu ya uzuri wako, umeiharibu hekima yako kwa Sababu ya mwangaza wako, nimekutupa chini, nimekulaza mbele ya wafalme wapate kukutazama.
 
So baadhi ya Wahubiri na Walimu wa leo wanaghoshi maandiko?
 
Siwezi kusema Moja kwa Moja kwamba wanaghoshi inawezekana labda Ni kutokuyaelewa Maandiko...

Ndiyo Maana mwalimu anaweza kuwapa wanafunzi kitabu Cha Hadithi Cha kiswahili chenye kurasa kumi10 halafu baada ya Masaa mawili akakusanya vitabu na kutoa mtihani wa maswali kuhusu walichosoma na bado Kuna watakaopata 100%, 90% 50% 10% na pia wapo watakaopata 0%

Sasa hata Biblia pia tunatofautiana uelewa unaweza ukawa nayo mkononi na ukashindwa Kuitafsiri...au kuelewa na ukakimbilia kufundisha ukidhani unajua kumbe unawapotosha watu...

Kwa hiyo wapo wanaopotosha wakijua kabisa wanachosema ninpotofu lakini wakaamua kusema kwa ajili ya kuwapotosha watu kwa maslahi yao binafsi.

Na wapo wanaopotosha Bila Kujua kwa Maana wamesoma Maandiko na kuyachukua Kama yalivyo Bila Kujua Tafsiri na Kutulia kuyaelewa na kukimbilia fundisha watu...
 
Mkuu Nature,

Hapo ndipo Walimu wa dini wanatuvuruga.

Kwa asilimia 99% imethibitika kwamba dini hasa ya Ukristo zinafundisha kwamba mambo yote ya mwilini yanaanzia Rohoni kwanza, Roho ndiyo ilitangulia kuumbwa, ikafuata Nafsi na ndipo Mwili.

Kwamba Roho ndiyo injini ya Mwili na Nafsi.

Hivyo basi kumbe umaskini wa Mwilini unaanzia kwenye Roho, sasa kama Roho ni maskini basi hakuna mwili duniani utakuwa tajiri, Roho ni maskini na mwili nao ni maskini haijalishi ama wa mali, maarifa ya Mungu, Ufalme wa Mbinguni au Ufalme wa Mungu (ikumbukwe kuna Ufalme wa Mbinguni na Ufalme wa Mungu).
Napingana na wewe kuwa roho ilianza kwanza kuumbwa kisha ukaumbwa mwili,Hii sio kweli kwasababu kwa mujibu wa Biblia,hasa kitabu Cha Mwanzo MUNGU aliumba mtu kwa udongo kisha akampulizia pumzi ambayo ndio roho.Rejea Mwanzo 2:7, imeandikwa hivi

Mwanzo 2:7 Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.

Umeona eenhh??, Kumbe Mwili ulianza kuumbwa kabla ya roho.
 
Mkuu utakuwa hujasoma Biblia kwa makini au hujaelewa bado

Roho ya Mtu iliumbwa (Mwanzo 1:27- Mungu akaumba Mtu kwa mfano wake, Kwa mfano wa Mungu alimwumba ,Mwanamume na Mwanamke aliwaumba....

Kwa hiyo kuja kufikia Mwanzo 2:7 Mungu Alikuwa anaumba Mwili..Kwa Maana Roho tayari alikwisha kuiumba Mwanzo 1:27

Tena Aliumba Roho za Wote wawili Mwanamume na Mwanamke

Alichokifanya Mungu kwenye Mwanzo 2:7 Ni Kufinyanga Mwili na Kuichukua Roho ambayo tayari alishaiumba Mwanzo 1:27 na akapulizia Pumzi ya Uhai...Akawa Nafsi hai...

Unatakiwa kusoma Maandiko kwa umakini ili uelewe...

Kwa hiyo Roho ndiyo iloyotangulia Kuumbwa (Mwanzo 1:27,) Kisha Mwili (Mwanzo 2:7) halafu Nafsi (Mwanzo 2:7)
 
Hiyo Mwanzo 1:27,haisemi kuwa roho ilianza kuumbwa yenyewe inazungumza tu kuwa Mtu aliumbwa,hebu ona jinsi palivyoandikwa.

Mwanzo 1:27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
 
Mkuu nikuulize swali...Nini Maana ya Neno Mtu?
 
Napingana na wewe kuwa roho ilianza kwanza kuumbwa kisha ukaumbwa mwili,Hii sio kweli kwasababu kwa mujibu wa Biblia,hasa kitabu Cha Mwanzo MUNGU aliumba mtu kwa udongo kisha akampulizia pumzi ambayo ndio roho.Rejea Mwanzo 2:7, imeandikwa hivi

Mwanzo 2:7 Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.

Umeona eenhh??, Kumbe Mwili ulianza kuumbwa kabla ya roho.
Hapana walianza kuumbwa rohoni kwanza wote wawili na katika mwili alianza Adamu ndio akafuata Eva

Mwanzo 1:27-28

[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

[28]Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
 
Back
Top Bottom