Maneno ya Biblia Yaliyowavuruga Wanafalsafa Niccolo Machiavelli na Karl Marx

Maneno ya Biblia Yaliyowavuruga Wanafalsafa Niccolo Machiavelli na Karl Marx

Hiyo Mwanzo 1:27,haisemi kuwa roho ilianza kuumbwa yenyewe inazungumza tu kuwa Mtu aliumbwa,hebu ona jinsi palivyoandikwa.


Mwanzo 1:27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Mtu ni nani Sasa?
 
Any philosophy is worthless, unless there is an attempt to analyse real one's life under a microscope!


YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Napingana na wewe kuwa roho ilianza kwanza kuumbwa kisha ukaumbwa mwili,Hii sio kweli kwasababu kwa mujibu wa Biblia,hasa kitabu Cha Mwanzo MUNGU aliumba mtu kwa udongo kisha akampulizia pumzi ambayo ndio roho.Rejea Mwanzo 2:7, imeandikwa hivi

Mwanzo 2:7 Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.

Umeona eenhh??, Kumbe Mwili ulianza kuumbwa kabla ya roho.
My Lord God!

Duh! Walimu wana kazi.
 
Mkuu nikuulize swali...Nini Maana ya Neno Mtu?
Usibadilishe mada, hoja hapo ni kipi kilianza kuumbwa,je, ni roho au mwili?.Mtu hawezi kukamilika bila roho na mwili kuwepo.Ktk fungu ulilolinukuu halisemi km kipi kilianza kuumbwa.
 
Mtu ni nani Sasa?
According to Philosophy,Mtu ni kiumbe kinachotembea kikiwa wima (walking upright) na miguu miwili huku mikono ikiwa ipo huru , kiumbe huyu ana Akili na Utashi.

Kibiblia.
Mtu ni kiumbe aliyeumbwa na Mungu kwa kuufinyanga udongo kisha kumpulizia pumzi ya uhai (roho), Mwanzo 2:7


Mwanzo 2:7 Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
 
Hapana walianza kuumbwa rohoni kwanza wote wawili na katika mwili alianza Adamu ndio akafuata Eva

Mwanzo 1:27-28

[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

[28]Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
Sasa Mbona haisemi kipi kilianza kuumbwa?!, kati ya roho na mwili.
 
Mkuu Nature,

Hapo ndipo Walimu wa dini wanatuvuruga.

Kwa asilimia 99% imethibitika kwamba dini hasa ya Ukristo zinafundisha kwamba mambo yote ya mwilini yanaanzia Rohoni kwanza, Roho ndiyo ilitangulia kuumbwa, ikafuata Nafsi na ndipo Mwili.

Kwamba Roho ndiyo injini ya Mwili na Nafsi.

Hivyo basi kumbe umaskini wa Mwilini unaanzia kwenye Roho, sasa kama Roho ni maskini basi hakuna mwili duniani utakuwa tajiri, Roho ni maskini na mwili nao ni maskini haijalishi ama wa mali, maarifa ya Mungu, Ufalme wa Mbinguni au Ufalme wa Mungu (ikumbukwe kuna Ufalme wa Mbinguni na Ufalme wa Mungu).
Tafsiri ya umasikini ni kuwa mtu ana uhitaji, na hivyo anapambana ili apate hilo hitaji, wengine wanasema ni kiu ya jambo fulani. Hivyo, masikini wa roho, huyu ana kiu ya habari za mbinguni na anapambana kuzipata, lakini masikini wa mwili, huyu anapambania mahitaji ya mwili, mfano chakula, mavazi, utajiri, nk. Hivyo, naungana na msemaji aliyesema kuna umasikini wa aina mbili; umasikini wa roho na wa mwili.


Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Usibadilishe mada, hoja hapo ni kipi kilianza kuumbwa,je, ni roho au mwili?.Mtu hawezi kukamilika bila roho na mwili kuwepo.Ktk fungu ulilolinukuu halisemi km kipi kilianza kuumbwa.
Wewe ndyo umebadili mada kwa Maana sisi tulikuwa tunajadili maneno yanayowachanganya wanna falsafa ...
 
Wewe ndyo umebadili mada kwa Maana sisi tulikuwa tunajadili maneno yanayowachanganya wanna falsafa ...
IMG-20210928-WA0001.jpg
 
Mathayo 5:5. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.

Niccolo Machiavelli, a statesman of the 16th century; he was a philosopher who was contaminated just by trying the flavour of politics. He invented his model which outlined ruthless strategies of seizing power like this:-

Never show humility: Arrogance is far more effective when dealing with others.

Morality and ethics are for weak: Powerful people feel free to cheat and deceive whenever it suits their purpose.

It is much better to be feared than to be loved.


View attachment 2122662


Mathayo 5:3 Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Karl Marx wrote this:
"Religion is the opium of the people" (which is usually translated as "religion is the opiate of the masses")

He discouraged the use of religion to topple Imperialism (Imperialism in the dynamics of Metropolitan Capitalism)

View attachment 2122664

(Alikuwa anapaka Superblack kwenye mustach tu)

Taswira zote kwa hisani ya google.

NB.
Je, falsafa zao zina mashiko (ukweli) katika dunia ya leo?
Nicolo alisema,if one has to chose whether it is better to be feared than loved or to be loved than feared, i say it is safer to be feared than loved
THE PRince
 
Back
Top Bottom