Maneno ya Biblia Yaliyowavuruga Wanafalsafa Niccolo Machiavelli na Karl Marx

Hiyo Mwanzo 1:27,haisemi kuwa roho ilianza kuumbwa yenyewe inazungumza tu kuwa Mtu aliumbwa,hebu ona jinsi palivyoandikwa.


Mwanzo 1:27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Mtu ni nani Sasa?
 
Any philosophy is worthless, unless there is an attempt to analyse real one's life under a microscope!


YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
My Lord God!

Duh! Walimu wana kazi.
 
Mkuu nikuulize swali...Nini Maana ya Neno Mtu?
Usibadilishe mada, hoja hapo ni kipi kilianza kuumbwa,je, ni roho au mwili?.Mtu hawezi kukamilika bila roho na mwili kuwepo.Ktk fungu ulilolinukuu halisemi km kipi kilianza kuumbwa.
 
Mtu ni nani Sasa?
According to Philosophy,Mtu ni kiumbe kinachotembea kikiwa wima (walking upright) na miguu miwili huku mikono ikiwa ipo huru , kiumbe huyu ana Akili na Utashi.

Kibiblia.
Mtu ni kiumbe aliyeumbwa na Mungu kwa kuufinyanga udongo kisha kumpulizia pumzi ya uhai (roho), Mwanzo 2:7


Mwanzo 2:7 Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
 
Sasa Mbona haisemi kipi kilianza kuumbwa?!, kati ya roho na mwili.
 
Tafsiri ya umasikini ni kuwa mtu ana uhitaji, na hivyo anapambana ili apate hilo hitaji, wengine wanasema ni kiu ya jambo fulani. Hivyo, masikini wa roho, huyu ana kiu ya habari za mbinguni na anapambana kuzipata, lakini masikini wa mwili, huyu anapambania mahitaji ya mwili, mfano chakula, mavazi, utajiri, nk. Hivyo, naungana na msemaji aliyesema kuna umasikini wa aina mbili; umasikini wa roho na wa mwili.


Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Usibadilishe mada, hoja hapo ni kipi kilianza kuumbwa,je, ni roho au mwili?.Mtu hawezi kukamilika bila roho na mwili kuwepo.Ktk fungu ulilolinukuu halisemi km kipi kilianza kuumbwa.
Wewe ndyo umebadili mada kwa Maana sisi tulikuwa tunajadili maneno yanayowachanganya wanna falsafa ...
 
Nicolo alisema,if one has to chose whether it is better to be feared than loved or to be loved than feared, i say it is safer to be feared than loved
THE PRince
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…